Category Archives

Ushiriki wa TICD katika maonesho ya Nanenane mkoani Simiyu

Wawakilishi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya jamiii Tengeru wakiwa kwenye banda la Taasisi kwenye siku ya maonesho ya nanenane, yanayofanyika kitaifa mkoani Simiyu, yenye kauli mbiu ” Kwa maendeleo ya Kilimo, mifugo na uvuvi chagua viongozi bora 2020″.

Read More icon