Dirisha la Udahili Septemba 2023

Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru kinawakaribisha waombaji wenye sifa kujiunga na masomo kutembelea banda la chuo kwenye Maonesho ya TVET yanayoandaliwa na NACTVET katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Zoezi la kudahili linafanyika viwanjani kwa wanafunzi linafanyika kupitia tovuti ya chuo kwa wanaohitaji msaada zaidi wanaweza kutembelea banda la chuo kwenye maonesho ya TVET.

Kwa msaada zaidi tupigie kupitia namba 0684-508904

Post a Comment