Category Archives

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA FUNDI MKUU UJENZI (LOCAL CONTRACTOR IN BUILDING WORKS)

Taasisi ya Maendeleo ya Jamiii Tengeru, inapenda kuwatangazia Mafundi wa ujenzi walio na sifa zilizoainishwa kwenye tangazo. kufanya maombi ya ujenzi wa miradi ya Taasisi, ambayo ni:- UJENZI WA BWENI LA WASICHANA LA GHOROFA NNE(MULTISTOREY BUILDING). KUMBI PACHA ZA MIHADHARA GHOROFA MOJA (SINGLE STOREY BUILDING) BOFYA HAPA KUPATA TANGAZO MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE […]

Read More icon
1 2