Taasisi yatoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Mkoani Tanga

Matukio katika picha wakati wa mafunzo ya kuwaongezea ujuzi wafanyabiashara ndogondogo maarufu Wamachinga yaliyoandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Halmashauri ya Jiji la Tanga.
Novemba 18; 2022.

Post a Comment