Tangazo la kuitwa kwenye usahili
Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru anapenda kuwataarifu waombaji wanafasi za kuhamia kwenye Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru, waliotuma maombikwenye kada 19 zenye nafasi 20 kwa tangazo lenye Kumb Na AB: 229/203/03/175 latarehe 22/04/2022 kuwa kutakuwa na usaili kwa waombaji ambao wamekidhi vigezokulingana na tangazo tajwa. BOPYA HAPA KUPATA ORODHA