
Wawakilishi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya jamiii Tengeru wakiwa kwenye banda la Taasisi kwenye siku ya maonesho ya nanenane, yanayofanyika kitaifa mkoani Simiyu, yenye kauli mbiu ” Kwa maendeleo ya Kilimo, mifugo na uvuvi chagua viongozi bora 2020″.