Tangazo la kuitwa kwenye usahili

Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru anapenda kuwataarifu waombaji wa
nafasi za kuhamia kwenye Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru, waliotuma maombi
kwenye kada 19 zenye nafasi 20 kwa tangazo lenye Kumb Na AB: 229/203/03/175 la
tarehe 22/04/2022 kuwa kutakuwa na usaili kwa waombaji ambao wamekidhi vigezo
kulingana na tangazo tajwa.

BOPYA HAPA KUPATA ORODHA