Orodha ya wanafunzi walichaguliwa na TAMISEMI kujiunga na masomo kwa ngazi ya cheti kwa mwaka 2022/2023

Orodha ifuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa na OR-TAMISEMI kujiunga na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD)
TICD inawakumbusha kufanya uthibitisho kupitia tovuti www.NactVET.go.tz  sehemu ya thibitisha TICD inawataarifu wote kuwa Taasisi itafunguliwa tarehe 18-10-2022. Kwa maelezo zaidi angalia joining instruction inapatikana kwenye tovuti ya Taasisi www.ticd.ac.tz
CLICK HERE TO LIST OF SELECTED STUDENTS

CLICK HERE FOR JOINING INSTRUCTION 2022/2023

CLICK HERE FOR FEE STRUCTURE 2022/2023

CLICK HERE FOR REGISTRATION FORM 2022/2023