
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kuhamia kwenye Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru waliotuma maombi kwenye kada 10 zenye nafasi 11 kwa tangazo lenye Kumb Na AB:229/203/03/08 la tarehe 14/05/2020 kuwa kutakuwa na usahili kwa waombaji ambao wamekidhi vigezo kulingana na tangazo tajwa.
[/vc_column_text][/vc_column][/vc_row]